FT: AFCON 2025 Qualification | Tanzania 0-0 Ethiopia | Benjamin Mkapa Stadium | 04-09-2024

FT: AFCON 2025 Qualification | Tanzania 0-0 Ethiopia | Benjamin Mkapa Stadium | 04-09-2024

Soka hamuliwezi, ila mkiambiwa muwekeze kwenye michezo mnayoiweza mnakaza fuvu. Mataifa yenye akili yalishatambua yana vipaji gani na ndo walikowekeza, hawahangaiki na soka wasiloliweza.

1.Kenya, Ethiopia na Jamaika - Riadha
2.USA na sasa South Sudan - Basketball
3.South Africa na India - Cricket

Tanzania mnashindwa nini kuwekeza kwenye Boxing ambako mnatisha Afrika yote? Mbona Rashid Matumla na wenzake walishawaletea mikanda mingi ya Africa ila kwenye soka hamjawahi kuleta kombe kubwa? Shida yenu ni nini?
Africa sio soka karibu Kila sector tumefailure Yani Dunia ya Leo bado Kuna nchi zinatumia wauza nazi zilizoaribika kwenye ku spy information
 
Pamoja nakuwa na ligi bora ila taifa stars nikichomi
 
Back
Top Bottom