FT: AFCON 2025 Qualification | Tanzania 0-0 Ethiopia | Benjamin Mkapa Stadium | 04-09-2024

FT: AFCON 2025 Qualification | Tanzania 0-0 Ethiopia | Benjamin Mkapa Stadium | 04-09-2024

Under 17 under 20 huko hakuna vipaji? Mbona spain walikiwasha? Taifa halina project endelevu wanategemea simba na yanga waibue vipaji. UJINGA MTUPU
 
Yaani kama tusipo mfunga huyu basi tunajiweka kwenye nafasi ngumu mno ya kutokufuzu.
 
Hii timu Mudathir angeanza mapema timu ingeshinda. Kocha pumbafu unaweka mabeki weengi kwa timu kama Ethiopia.
 
Back
Top Bottom