Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Kawaweke kina Che fondoh pale wanaposimama wakina Job 😅Yanga Wanatulostisha...
Hata mimi nimeangalia huyu Mudathir angeanza tungepatq goli.Hii timu Mudathir angeanza mapema timu ingeshinda. Kocha pumbafu unaweka mabeki weengi kwa timu kama Ethiopia.
Yeye peke yake ndio ameonyesha anataka tushinde. Wengine wanarukaruka tu.Hii timu Mudathir angeanza mapema timu ingeshinda. Kocha pumbafu unaweka mabeki weengi kwa timu kama Ethiopia.
Sahau kufuzu, huyu ndio alikuwa na nafuuYaani kama tusipo mfunga huyu basi tunajiweka kwenye nafasi ngumu mno ya kutokufuzu.