Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Watu hawatafakari kabisa hakuna kitu kigumu kama kufungua codes za timu iliyopaki basi, maana ukibugi tu steps utapigwa counter attacks za hatari na kufungwa wewe.mamelody anachukua ndoo hawa al ahly walikuwa wanapaki sana basi. uko kwao wakishambulia tuu imekula.