Kilimbatz
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 4,331
- 5,865
Mamelodi inabidi akaze apate goli hata 3Kila akauwahi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mamelodi inabidi akaze apate goli hata 3Kila akauwahi
Kwanini?Mamelodi Wasipoongeza Goli la Pili Mwendo wameumaliza
sijawahi kuikubali mipira ya kurudisha nyuma kamwe!Kipa la Mamelody almanusra achomeshe
Mechi ya simba na Al ahly ya ufunguzi uliangalia ?Huu mpira unaopigwa hapa unajiuliza hivi Simba ya yanga tutafika kwenye hizi Leo sijui lini.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Marahabaaaa nipo vyedi sana!!Shangazi upo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tatizo sio kurudiaha nyuma mipira bali Mamelod wenyewe wana mpira wa kutobutua butua kitu ambacho kinaweza kuwagharimuMechi ya simba na Al ahly ya ufunguzi uliangalia ?
Waarabu watatoboa kweli?Dakika ya 80
MaviiiiWaarabu watatoboa kweli?
Utapata jibu siku wakivaana na Uto 😂Hivi hawa wanaocheza na Mamelodi ni Al ahl kweli 🤓🤣🤣😂😂😂😂!???