FT: AFL: Mamelodi Sundowns 1 Vs 0 Al Ahly | Stadium: Loftus Versfeld | 29.10.2023

Facts ya hizi timu mbili

Al Ahly amekuwa kibonde kwa Mamelody anafungwa mara nyingi

Mamelody ana mkosi na fainali yani hana bahati ya kucheza fainali nyingi
 
Uko sahihi

Acha tuone msimu huu
 
Mamelody wanakosa bao hapa kupitia krosi ya kona
 
Mchezaji wa Al Ahly badala ya kufunga ye kaokoa kama alivyofanya Bocco
 
Back
Top Bottom