XII Tz
JF-Expert Member
- Aug 16, 2020
- 4,345
- 7,076
Sasa mkuu, we unamuona bingwa mwingine wa AFL zaidi ya Al ahly ?Roho za kimaskini ili Mamelodi Sundowns atolewe uendelee kujifariji na MBUMBUMBU SC yenu kuwa ni timu bora [emoji4]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mkuu, we unamuona bingwa mwingine wa AFL zaidi ya Al ahly ?Roho za kimaskini ili Mamelodi Sundowns atolewe uendelee kujifariji na MBUMBUMBU SC yenu kuwa ni timu bora [emoji4]
We waacheHao Mamelodi miaka yote hata champions league ni hivyo hivyo, wanaupiga mwingi mwishoni wanatoka
Taifa lake Raia wanapenda sana Mpira. Wanaangusha wachezaji wetu tu hawajitumii kwa kiwango kinachotakiwa Hususani Home players.Mtu anifahamishe kwann kwenye hii michuano nchi zingine mashabiki uwanjani hawajai ila huku kwetu uwanja unajaa
Imepenya hiyo [emoji382][emoji1]Hii umeiandika au umei paste?
Hizo almanusura hazitowasaidia kituAlmanusura hapa Mamelod wapate goli
Al ahly wanaonyesha upande mwingine wa shilingi, wakiamua kulipaki ni kama Tanzania prisons hawapitikiMamelody wanapiga mashuti marefu wakiwa katikati ya uwanja hiyo ni kutokana na bavkline ya Al Ahly kuwa ngumu kupitika
Game wala haivutii sana, hivyo game ya ufunguzi wa michuano hii ilistahiki kuwa ndio fainali.Waarabu muda wote wamepako basi tu wanaifanya game ionekane bored