FT: AFL: Mamelodi Sundowns 1 Vs 0 Al Ahly | Stadium: Loftus Versfeld | 29.10.2023

FT: AFL: Mamelodi Sundowns 1 Vs 0 Al Ahly | Stadium: Loftus Versfeld | 29.10.2023

Kwa sanaa ya macho tu unavutia hususani pale unapopata matokeo.

Ila kama unacheza hivi halafu haupati ushindi inakuwa ni kazi bure tu
Na wasipoangalia hawa Mamelodi watatolewa
 
Waarabu muda wote wamepako basi tu wanaifanya game ionekane bored
Sasa hiyo ndio maana halisi ya kuwepo kwa goli la ugenini.

Kupata ushindi kwenye mechi za ugenini ni shida sana kwa nchi zetu hizi za Afrika, tuna namna yetu ya kiuchezaji na maandalizi ya game.

Hata katika mashindano ndani hapa tunajionea ugumu wa timu zetu kupata matokeo kwenye viwanja vya mikoani.

Goli la ugenini acha tu liendelee kuwepo
 
Hakuna wa kumtoa Ahly knockout stage hapo, wataishia tu kucheza pira biriani lisilokuwa na nyama ( ushindi)
We waache

Kule Misri kama gemu itaisha hivi inabidi wakatafute goli la ugenini
 
Back
Top Bottom