FT: AFL: Mamelodi Sundowns 1 Vs 0 Al Ahly | Stadium: Loftus Versfeld | 29.10.2023

FT: AFL: Mamelodi Sundowns 1 Vs 0 Al Ahly | Stadium: Loftus Versfeld | 29.10.2023

Kwa makosa haya ya Mamelody, CAIRO hawachomokki..

Naona ALHY wakinyanyua NDOO
 
Hawa Mamelod wameshindwa kutumia nafasi vizuri na home ground ilitakiwa wapate goli zidi ya mmoja wajue kabisa shughuli ya Egypt haitakuwa rahisi
 
Utozi mwingi hata kama mpira biriani lakini viungo vikizidishwa inakuwa tatizo.
Yani katika vitu ambavyo vinanikera kwenye mpira ndio hicho.

Sometimes unaweza kuta timu imekumbana na defense line ngumu mipira yote inaishia katikati mbele hakupitiki.

Wachezaji wanatumia nguvu kubwa kuoambana kufika mbele na inapotokea nafasi wamefika eneo la mwisho unakuta wanaanza tena kuchanga changa miguu na mwisho wa siku wanapoteza mpira
 
Facts ya hizi timu mbili

Al Ahly amekuwa kibonde kwa Mamelody anafungwa mara nyingi

Mamelody ana mkosi na fainali yani hana bahati ya kucheza fainali nyingi
Makolokolo SC mnakwama wapi sasa kutokuwa kibonde wa Al Ahly hata kama ninyi ni Mwakarobo SC?
 
Ndio madhara ya kucheza mpira burudani

Uko we na kipa badala ya kushuti unahangaika na visigino.
Mshasema Al Ahly ni kibonde wa Mamelodi Sundowns, ulitegemea afungwe kimteremko mechi ya leo ilihali H2H mechi 5 za mwisho kafungwa 3 na kusuluhu 2?
 
Back
Top Bottom