FT: AFL: Mamelodi Sundowns 1 Vs 0 Al Ahly | Stadium: Loftus Versfeld | 29.10.2023

mamelody anachukua ndoo hawa al ahly walikuwa wanapaki sana basi. uko kwao wakishambulia tuu imekula.
Watu hawatafakari kabisa hakuna kitu kigumu kama kufungua codes za timu iliyopaki basi, maana ukibugi tu steps utapigwa counter attacks za hatari na kufungwa wewe.
 
Nadhani mumejifunza jinsi ya kumfunga Al-ahal.
Nikumpelekea moto mwanzo mwisho, kitu ambacho mikia fc kilimshinda.
 
Masandawana aka bafana style wameupigwa mwingi hakika tumeona mechi ya kusisimua .
Hata hivyo bado kuna udhaifu umefanyika wa refa pale mendieta wa mamelodi aliposukumwa Kwenye eneo la penalti , var ikaandika checking for foul lakini refa akapeta , hawa waarabu wabebwa sana .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…