FT: AFL: Mamelodi Sundowns 1 Vs 0 Al Ahly | Stadium: Loftus Versfeld | 29.10.2023

FT: AFL: Mamelodi Sundowns 1 Vs 0 Al Ahly | Stadium: Loftus Versfeld | 29.10.2023

27'

Free kick eneo zuri wanapata Mamelody

Kwa Mpigaji kama Chama au Saido ni goli kwa eneo hili
****
Shuti linaenda nje ya lango
 
Utopolo hii michuano timu dhaifu haijawez kushiriki[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Mamelod hawa hawatatoka ....ama kweli maji hufuata mkondo kama kwenu kuna damu ya utajiri hata wewe utakua tu tajiri ila kama kwenu njaa kali hata wewe kutoboa ni ngumj
 
Ukiachana na Simba, Al ahly ndo timu yangu bora ya muda wote hivyo nawatakia ushindi mnono leo
 
Back
Top Bottom