FT: AFL: TP Mazembe 1-0 Esperence De Tunis | Stadium: Benjamín Mkapa | 22.10.2023

Caf sio wajinga mkuu, huwezi kuchukua miaka 25 kuingia makundi tu alafu wakupange, aibu ndogo ndogo kama hizo Caf wameamua kuziepuka
kweli mkuu Caf wana akili sana, huwezi fika fainali shirikisho ukamsumbua bingwa aliye mchapa al ahly supercup uende upangwe na watu wanao ishia robo ni matumizi mabaya ya akili
 
kweli mkuu Caf wana akili sana, huwezi fika fainali shirikisho ukamsumbua bingwa aliye mchapa al ahly supercup uende upangwe na watu wanao ishia robo ni matumizi mabaya ya akili
Wanao ishia robo kwenye mashindano ambayo imekuchukua miaka karibia 30 kufika angalau makundi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…