FT: AFL: TP Mazembe 1-0 Esperence De Tunis | Stadium: Benjamín Mkapa | 22.10.2023

Mchezaji mmoja wa Tp Mazembe yupo chini

Refa amesimamisha mpira kucheli afya yake
 
Wi-fi ya hapa ni dusko tu yani sekunde mbili unaachiwa sekunde ya tatu wanakata, kuirudisha tena ni mpaka nusu saa
 
Mchezaji wa TP yupo chini, anapatiwa huduma.

Alichezewa foul na yule yule Captain wa Esperance
 
Daaah umepigwa muwa wakwenda kwenye lango la Esperence sema mpira umeenda nje ya lango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…