Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yah nilitaka kusema hivyo jina likanipoteaKiyombo aingie
upo sahihi Onyango bado tunamuhitaji sana mshikaji yuko poaAisew Onyango angeondoka ingekula kwetu onyango na Inonga ni watu na nusu yani leo ukuta umekomaaaa hautaki kuruhusu bao
Tupo mbele kama tumbo la Mgunda yaani45+1'
Mpira ni mapumziko..Sisi tupo mbele kama Tai yaani...!
De Agosto 0-1 Simba SC
Away game sio za kuweka double striker, hapo ni kucheza kwa tahadhari kubwa kulinda ulichonachoKiyombo aingie
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Sisi mambo kama haya ni rahisi tu yaani..!Tupo mbele kama tumbo la Mgunda yaani
Yule kocha alikuwa mwehu sanaAisew Onyango angeondoka ingekula kwetu onyango na Inonga ni watu na nusu yani leo ukuta umekomaaaa hautaki kuruhusu bao
Uko sahihi mkuu.Away game sio za kuweka double striker, hapo ni kucheza kwa tahadhari kubwa kulinda ulichonacho
Anatafuta kusajiliwa, nadhani viongozi watamfanyia evaluation ya kutosha ili wasije kuingia kingi kama wale jamaa zetu kwa Azizi Ki.Yani kuna mkaka hapo wa agosto anacheza balaaaa
Simba kama watafungwa goli litaanzia kwa uzembe wa Kibu na uzembe huo utakamilishwa na Mwenda. Angalia leo Onyango alimbovu ila makosa yake yanafichwa na Inonga. Makosa ya Kibu hayatarekebishwa na mwenda na hapo game itaisha 2-1Ya
Yah nilitaka kusema hivyo jina likanipotea
Simba kama watafungwa goli litaanzia kwa uzembe wa Kibu na uzembe huo utakamilishwa na Mwenda. Angalia leo Onyango alimbovu ila makosa yake yanafichwa na Inonga. Makosa ya Kibu hayatarekebishwa na mwenda na hapo game itaisha 2-1Ya
Yah nilitaka kusema hivyo jina likanipotea
huyo anayetokea kulia dah taabu kweli kweliYani kuna mkaka hapo wa agosto anacheza balaaaa
Awekwe kwenye msimbazi kabisa 10k (joke)Mnaonaje Chama akawekwa kwenye noti ya elfu kumi pale?
Yule tembo mi simuelewi yuko pale kama nani afu kachukua space kubwa
Na iwe hivyooHapo sasa ila siwezi kufwaa bana