Penison
JF-Expert Member
- Nov 4, 2017
- 6,274
- 12,244
Sio hawa ,wale ni PETRO DE LUANDA jana wamempasua 3-0 Cape town city away.Haha Jamaa waliwatoa vp mamelody ya South Africa??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio hawa ,wale ni PETRO DE LUANDA jana wamempasua 3-0 Cape town city away.Haha Jamaa waliwatoa vp mamelody ya South Africa??
Asante sanaWa Tz poleni sana Na Lile Papatu Papatu La Jana..!
Mtuwie radhi ..!
Karibuni kumwagilia kuupoza Moyo Kwa Burudani Ya Wana Lunyasi S.S.C.!
Muda ameachiwa Kisinda, Kibu ni mzigo kwa leo over!Tumpe muda
leo nausikiliza kwa redioHivi mmeshaona Baka verane Inonha hapotezi kabisa pasi zake akipiga lazima imkute mtu
Asante sanaWa Tz poleni sana Na Lile Papatu Papatu La Jana..!
Mtuwie radhi ..!
Karibuni kumwagilia kuupoza Moyo Kwa Burudani Ya Wana Lunyasi S.S.C.!
Isikufe tu utaniacha na nani😂Mnooooo
Tumpe muda
Acha kabsaPresha iko juu ee[emoji1787]
Mnawatakia wenzenu njaaaa🤣🤣🤣🤣🤣2-1 Friends of Agosto tujuane 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
AmiynSimba kuvuka Group stage ni uhakika 100% . Dream n semi final..
Hapo sasa ila siwezi kufwaa banaIsikufe tu utaniacha na nani😂
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji38]Yeah niliskia kuwa Angola ni wazuri kwa kwaito
So muache acheze tu
Kiyombo aingieKibu atoke aingie
Ilibidi kuwe na winga kama Luis wa kumsaidiaJamaa wameona kwa Mohamedi husein ndio Kuna uchochoro