FT: Agosto 1-3 Simba | CAF Champions League | Estádio 11 de Novembro | 9-10-22

FT: Agosto 1-3 Simba | CAF Champions League | Estádio 11 de Novembro | 9-10-22

Magoli ya tripple C magoli yake ya kiufundi sana
Magoli yake mengi huwa sio ya bahati, unaona kabisa anatuliza ball bila kitete anageuza mchezaji akijileta kipumbavu kisha anaangalia pa kupeleka mpira, magoli yake yote sio mashiti ila huwa anawapeleka mbali kabisa ambako kipa hafiki.

Kwa waliowahi kucheza ball, magoli ambayo mfungaji anapiga kashuti kadogo halafu kaingie golini huku mnakatazama bila uwezo wakufanya lolote, huwa yanauma sana kuliko mashuti.
 
Daaah na muda hata hauendi

1665329689035.png
 
Back
Top Bottom