FT: Agosto 1-3 Simba | CAF Champions League | Estádio 11 de Novembro | 9-10-22

Kumchezesha okwa upande wa kushoto ni misuse kiukweli.. Anapata shida kidogo kuchoma ndani, anabaki kupiga chenga za chepe akitegemea spidi, si hatari saana kwa kipa wa wapinzani.. Kama akitokea upande wa kulia, kitaalamu kushoto itakuwa anenda pembeni kupiga v pass au cross tofauti na kulia ataweza kushoto, kucurve na hata kupiga v pass.

Kila la heri mnyama.

Okrah mkuu
 
Kibu wakati mwingine anachekesha saana, kwa anaejua mpira anajiuliza huyu vipi, hakui kimchezo, habadiliki.

Ya kwanza ile cross ya moses phiri angekuwepo kwenye position angeweza kufunga
Hii ya pili badala ya kupiga through ball, yeye katurn kapiga pasi nyumbani.. 😂 😂
 
Mkuu unapoteza muda wako tu kutoa maelekezo. Pale hamna mtu, tumsubiri Manzoki
 
Kibu wakati mwingine anachekesha saana, kwa anaejua mpira anajiuliza huyu vipi, hakui kimchezo, habadiliki.

Ya kwanza ile cross ya moses phiri angekuwepo kwenye position angeweza kufunga
Hii ya pili badala ya kupiga through ball, yeye katurn kapiga pasi nyumbani.. [emoji23] [emoji23]

Kwenye matumizi ya akili kibu huwa hausiki napo
 
Back
Top Bottom