FT: Agosto 1-3 Simba | CAF Champions League | Estádio 11 de Novembro | 9-10-22

FT: Agosto 1-3 Simba | CAF Champions League | Estádio 11 de Novembro | 9-10-22

Kumchezesha okra upande wa kushoto ni misuse kiukweli.. Anapata shida kidogo kuchoma ndani, anabaki kupiga chenga za chepe akitegemea spidi, si hatari saana kwa kipa wa wapinzani.. Kama akitokea upande wa kulia, kitaalamu kushoto itakuwa anenda pembeni kupiga v pass au cross tofauti na kulia ataweza kushoto, kucurve na hata kupiga v pass.

Kila la heri mnyama.
 
Back
Top Bottom