FT: Agosto 1-3 Simba | CAF Champions League | Estádio 11 de Novembro | 9-10-22

Ya

Yah nilitaka kusema hivyo jina likanipotea
Simba kama watafungwa goli litaanzia kwa uzembe wa Kibu na uzembe huo utakamilishwa na Mwenda. Angalia leo Onyango alimbovu ila makosa yake yanafichwa na Inonga. Makosa ya Kibu hayatarekebishwa na mwenda na hapo game itaisha 2-1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…