FT: Agosto 1-3 Simba | CAF Champions League | Estádio 11 de Novembro | 9-10-22

FT: Agosto 1-3 Simba | CAF Champions League | Estádio 11 de Novembro | 9-10-22

Tupunguze kumsema huyo dogo..ile Kross aliyokosa Chama imetoka kwa nani...hata hao akina Kapombe walianza hivyo...
Mwenda uwezo bado, mgunda apewe timu alafu apewe na watu wazuri na imani atafikisha simba mbali, mgunda kamuanzisha kibu D sio kwa sababu ni mzuri au anajua kuliko sakho kakuanzisha kwa sababu ya kukaba nguvu zake zimsaidie mwenda
 
Back
Top Bottom