Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Hiyohiyo ambayo tangu 1998 haijayaona makundi?Hawa wangekutana na Yanga yangu , yanga wangepigwa nyingi sana yaani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyohiyo ambayo tangu 1998 haijayaona makundi?Hawa wangekutana na Yanga yangu , yanga wangepigwa nyingi sana yaani
Kibu bado namsikiaNo substution
Yupo nadhani kuna kitu mwalimu ameon kwake hasa energy alonayoKibu bado namsikia
Kitu gani wakati hata kutuliza mpira haweziYupo nadhani kuna kitu mwalimu ameon kwake hasa energy alonayo
Anasaidia kuokoa mipiraKitu gani wakati hata kutuliza mpira hawezi
Safari bila wazee haitimiiiYani leo Joash yuko vyedi sana
Haitimii nini?Safari bila wazee haitimiii
Bado hujakubali mnyama ni zaidi ya MamelodyHaha Jamaa waliwatoa vp mamelody ya South Africa??
Sema kwa jinsi ambavyo hatujui kuamusha ari kwa watumishi wa kitz, utakuta Mgunda analazimishwa asainishwe mkataba wa 2M kwa mwezi kwasababu ni mbongo wakati wale wazungu walikuwa wanakula 25M+Mzungu tahaira yule. Alitaka kutuondolea visu katika timu... Mgunda timu achukue tu,, wamuongezee mkataba
Kocha tu bonge kwenye maamuzi anakuwa bonge piaNo substution