FT: Agosto 1-3 Simba | CAF Champions League | Estádio 11 de Novembro | 9-10-22

FT: Agosto 1-3 Simba | CAF Champions League | Estádio 11 de Novembro | 9-10-22

Babu Onyango leo kaupiga
1665331473954.png
 
Mzungu tahaira yule. Alitaka kutuondolea visu katika timu... Mgunda timu achukue tu,, wamuongezee mkataba
Sema kwa jinsi ambavyo hatujui kuamusha ari kwa watumishi wa kitz, utakuta Mgunda analazimishwa asainishwe mkataba wa 2M kwa mwezi kwasababu ni mbongo wakati wale wazungu walikuwa wanakula 25M+

Kama tuliweza kuwalipa wazungu mishahara mikubwa vile kwanini huyu Mgunda asipewe hata 10M mwezi (ikitokea kasaini) ili kumuongezea ari? Muda mwingine maslahi mazuri hufanya watu wavuje jasho na kuumiza akili ili kulinda ugali.

CONTEXT:

Ikitokea mmefikia uamuzi wa kumpa mkataba, basi athaminiwe kwa kazi yake na sio kwa Utanzania wake. Mpeni maslahi makubwa kama mnavuowapa wazungu ambao hawana lolote la maana.
 
Back
Top Bottom