FT: Agosto 1-3 Simba | CAF Champions League | Estádio 11 de Novembro | 9-10-22

Siamini kama hii point imetoka kwako leo mtani. Hongera sana na wenye sikio na wasikie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kalpana kwamba sioni au?? Mm naujua mpira, timu is not all about quality players, kuna mengi mno ndani yake, spirit inajengwaje kwa wachezaji, aina ya vyakula, program ya mazoezi na zaidi wachezaji kuaminishwa kuwa wao ni wakubwa and they have to act as a matured men.

Ukiingalia Simba haina wachezaji hatari, ila wana spirit ya kupambania kitu fulani, hivyo hiyo spirit ndio wanapaswa kuitumia YANGA.

Tayari una quality players haya unawatumiaje?? Ushindi sio uwanjani tu hata nje unatafutwa (hapa sio kununua game) yaan timu inapewa moral and material support in well and proper manner.

YANGA TUJIFUNZE, KUJIFUNZA SIO KOSA, HATA SIMBA WALIJIFUNZA VINGI KUTOKA YANGA YA MANJI na wakaelewa kuwa mpira ni uwekezaji na sio UCHAWI.
 
Kushinda tumeshinda ashukuriwe mungu, ila benchi LA ufundi wasijerudia makosa ya kumuingiza bocco ,sijui ni nan anamlinda huyo mwamba hapo simba ,yaan kaingia tu tumeanza kushambuliwa sana.

Tukisema tunaambiwa hatujui mpira ,kiukwel sabu ya kibu alipaswa aingie sacko phiri angebak pale mbele ingeleta uhai zaid
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa kwamba sioni au?? Mm naujua mpira, timu is not all about quality players bro, kuna mengi mno ndani yake, spirit inajengwaje kwa wachezaji, aina ya vyakula, program ya mazoezi na zaidi wachezaji kuaminishwa kuwa wao ni wakubwa and they have to act as a matured men.

Ukiingalia Simba haina wachezaji hatari, ila wana spirit ya kupambania kitu fulani, hivyo hiyo spirit ndio wanapaswa kuitumia YANGA.

Tayari una quality players haya unawatumiaje?? Ushindi sio uwanjani tu hata nje unatafutwa (hapa sio kununua game) yaan timu inapewa moral and material support in well and proper manner.

YANGA TUJIFUNZE, KUJIFUNZA SIO KOSA, HATA SIMBA WALIJIFUNZA VINGI KUTOKA YANGA YA MANJI na wakaelewa kuwa mpira ni uwekezaji na sio UCHAWI.
Kwahyo unajitoa akili kuniita Broo ama?
 
Kushinda tumeshinda ashukuriwe mungu, ila benchi LA ufundi wasijerudia makosa ya kumuingiza bocco ,sijui ni nan anamlinda huyo mwamba hapo simba ,yaan kaingia tu tumeanza kushambuliwa sana.

Tukisema tunaambiwa hatujui mpira ,kiukwel sabu ya kibu alipaswa aingie sacko phiri angebak pale mbele ingeleta uhai zaid
Acha roho mbaya, ndio huyu huyu
alifunga akiwa Malawi goli la pili,

Simba kama kweli we mwanamichezo huwa ilishambuliwa sana hasa eneo la kati kukatika
 
Back
Top Bottom