Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,348
- 5,841
Akatwe mshaharaAisee huyu kipa fala tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akatwe mshaharaAisee huyu kipa fala tu
Na ndo watapigwa nyingi na mnyamaNa kipindi cha pili al ahly wanarudi wakiwa wamepanik dadekii[emoji51][emoji51][emoji51]
kati ya mechi 60 mechi 2 tu ndo anaonesha uhaiKaifunga Yanga, Kaifunga Ahly.... match ngapi hizo
Waliofungwa na Simba, Kibudengahao walio wapiga wababe wenu azam jana
Hapana kipa yuko vizuri sana kwa leo aisew kasave magoal mengi sanaAkatwe mshahara
kushinda labda ashinde njaa, kuna timu gani hapo ya ushindiMimi nadhani approach ya Simba sio ushindi aisee😁😁
Inakuuma ukiwa wapi?Mimi nadhani approach ya Simba sio ushindi aisee😁😁
Wazee wa Kwamsisi watamlogaRobertinho alivyo atarudi na Bocco tena Kipindi Cha Pili
mwenyewe unajua mpaka sasa ni bahat ndio imewabeba wala sio uwezoAl Ahly wanampira wa kuvizia
Na Simba haviziwi wala hanyatiwi
Toa bocco weka Phiri... Chochote kinaweza tokeaBoko ni mzigo. Second half apumzike tu. Hana msaada kwa timu
Unawapangia namna ya kucheza wakati timu yako haikutambuliwa? Tuwaache wapaki bus wakitaka, kama Ihefu vileMwakarobo wanapoteza muda wakati wao ndiyo wako nyuma