FT: Al Ahly 1-1 Simba SC (Agg, 3-3)| Africa Football League| Simba yaondolewa kwa Goli la Ugenini

FT: Al Ahly 1-1 Simba SC (Agg, 3-3)| Africa Football League| Simba yaondolewa kwa Goli la Ugenini

Muambieni Kibu, sawa anajitahidi.

Ila asiwe na akili ya kutaka kupiga kila mahali mpaka pale ambapo kuna wachezaji wa kumsaidia.

Boko akapumzike.
 
Na nyie si mtakuja kwenye huu uwanja.

Tutafanya comparison tuone nani Big fish

Jana tumeshuhudia lawama nyingi zikienda kwa Mzize

Na hiyo ni mechi na Azam

Mkija hapa Cairo tutazisikia lawama hadi kwa wapishi wa timu
 
Attachments

  • 20231024_140909.jpg
    20231024_140909.jpg
    55.4 KB · Views: 1
Na nyie si mtakuja kwenye huu uwanja.

Tutafanya comparison tuone nani Big fish

Jana tumeshuhudia lawama nyingi zikienda kwa Mzize

Na hiyo ni mechi na Azam

Mkija hapa Cairo tutazisikia lawama hadi kwa wapishi wa timu
Mzee nyumba Yako inawaka moto unakimbilia kuzima kwa jirani.

Pumbavu kabisa.

Acha mpigwe tu
 
Bocco hakabi wala hana uwezo wa kukaa na mpira, sijui kocha alifikiria nini kuanza na Bocco ilhali mpira anaocheza leo ni wa kutumia counter attack. Kwa aina hii ya mchezo unawezaje kumtegemea Bocco ambaye hata kutuliza mpira ni kazi kwake.?

Pale South Africa Mamelod wamegoma kumuachia kipa wao namba moja wa zamani (Onyango) licha ya kuwa hachezi, nadhani ni kwasababu wanampenda sana ndiomaana analipwa mshahara akiwa benchi. Kama Simba Sc wanampenda sana Bocco, ni vyema wakamlipa mshahara akiwa benchi badala ya kulazisha vitu ambavyo haviwezekani tena.

Utashangaa Bocco anarudi uwanjani.
 
Mzee nyumba Yako inawaka moto unakimbilia kuzima kwa jirani.

Pumbavu kabisa.

Acha mpigwe tu
Vijana wa Mwakalebela basi inatosha
 
Back
Top Bottom