herio
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,245
- 4,320
Na hiyo ndio point yangu nimeikumbuka mechi ya waydad mpaka wakaanza kuvuja machoziNa ndo watapigwa nyingi na mnyama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hiyo ndio point yangu nimeikumbuka mechi ya waydad mpaka wakaanza kuvuja machoziNa ndo watapigwa nyingi na mnyama
Mashindano yana goli la ugenini kama ilivyo kwa mashindano ya CAF yalivyo. Sheria za AFL hizo hapo.Haipo
Kama bahati ina play role kwanini usifikirie hata wao kutofungwa na sisi hapa kwa Mkapa ilikuwa ni bahati kwao?mwenyewe unajua mpaka sasa ni bahat ndio imewabeba wala sio uwezo
Mzee nyumba Yako inawaka moto unakimbilia kuzima kwa jirani.Na nyie si mtakuja kwenye huu uwanja.
Tutafanya comparison tuone nani Big fish
Jana tumeshuhudia lawama nyingi zikienda kwa Mzize
Na hiyo ni mechi na Azam
Mkija hapa Cairo tutazisikia lawama hadi kwa wapishi wa timu
Unateseka ukiwa wapiMashindano yana goli la ugenini kama ilivyo kwa mashindano ya CAF yalivyo. Sheria za AFL hizo hapo.
Yaani maamuzi yake kama anacheza timu ya mtaaniMuambieni Kibu, sawa anajitahidi.
Ila asiwe na akili ya kutaka kupiga kila mahali mpaka pale ambapo kuna wachezaji wa kumsaidia.
Boko akapumzike.
Mnatoka ikibaki hivi hiviSimba imecheza kwa ubora na kwa ukubwa
Hata ya leo Rwanda TV wanaonyesha, #299.Mechi ya kesho kwa wale wa dstv itaoneshwa channel no 275 k24.
Vijana wa Mwakalebela basi inatoshaMzee nyumba Yako inawaka moto unakimbilia kuzima kwa jirani.
Pumbavu kabisa.
Acha mpigwe tu