FT: Al Ahly 1-1 Simba SC (Agg, 3-3)| Africa Football League| Simba yaondolewa kwa Goli la Ugenini

Hii week ni ngumu sana kwenu Makolo maumivu ya kifo cha shoga wenu hayajaisha mnakutana na dhana nyingine
 
Mkwambiku derby unaweka historia gani sasa na wewe 😂😂😂
Acha kujiaibisha kijana
Mkwambiku derby unaleta makelele ushukuru simba tumewaletea mabango ya kuwakawaka Taifa😁
 
Mimi leo hata tukitolewa sina stelesi kabisaaa...dunia imeshaona Simba ni nani....na imethubutu...kutoka droo na hii alhyl ya moto yenye wachezaji wa moto wanalipwa mishahara ya moto si mchezo...
Viva Simbaa
Simba nguvu Moyaaaaa
Ni kweli dada hata Enyimba dunia imeiona.
 
Mechi hii ikiisha nguvu zangu nitaziweka siku ya mechi ya Vilaza FC na hawa miamba...yani nitacheeeka mnooo..maana hawana timu ya kumtoa huyu...
"nguvu zangu nitaziweka siku ya mechi ya Vilaza FC na hawa miamba..."

Na wewe utaingia msituni kama popoma au[emoji28]?
 
Nilicho na uhakika nacho kukuhusu ni jinsia yako tu kuwa wewe ni ke.

Maana kwa taarabu hii haina jinsi ukawa na jinsia tofauti na uliyonayo. Asante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…