baada ya mpira kuisha hii ndo status yanguMwarabu weeeeView attachment 2791501
1. Kucheza AFLJibu swali,mafanikio yako yapi ya kuwazidi Yanga?
Ihefu huyooooooooo hahahuku anavimba kwamba ye ni timu kubwa hadi kachaguliwa kushiriki supa kapu kumbe mavi tu
Ndio, nimeloaUmeloa?
Baado hamjasemaaa nasema mbadooooKolo'z ze hauz[emoji1787][emoji1787]
Mpira umeisha na ndio ushakua hivyo goli la ugenini limembeba Simba anaenda hatua inayofuataYANGA AKISHINDWA IFUNGA Al Ahly itakua n Ujinga wao
wachambuzi wanakwambia ni bonge la mchezajiOnana ni maku....,
Kolo'z ze hauz🤣🤣
Al Ahyl ni jina tu linawabebaHawa Al Ahly wakicheza na Yanga wanapigika vizuri tu
Yanga hii hiiYANGA AKISHINDWA IFUNGA Al Ahly itakua n Ujinga wao
Km kawaidaMnakufa kiume[emoji1787][emoji1787]