FT: Al Ahly 1-1 Simba SC (Agg, 3-3)| Africa Football League| Simba yaondolewa kwa Goli la Ugenini

Watu hatujashuhudia Khamsa Khamsa siku nyingi, leo tunashuhudia kipigi kizito kikishushwa na Al Ahly kwenda kwa Simba.
 
📌📌📌👏🏼👏🏼👏🏼
 
Nitakuja na Uzi uongozi WA Simba Unavyozingua kwenye usajili...

MANULA AMEUMIA UNAENDA KULETA AYOUB MDAKAMIPANZI NA KUMUACHA KAKOLANYA BILA SABABU ZA MSINGI.

ALLY SALUM WA NINI NDANI YA SIMBA!!!!!!!!????

Mashabiki ACHENI kuwa wapumbavu uongozi unazingua usajili NYIE mnashangilia tu.

PUMBAVU KABISA.
 
ACHENI KUJIFARIJI NA MAMBO YA KIPUMBAFU.

HWEZI UKAENDA VITANI NA GOBOLE MWENZIO ANA KIFARU.
SHAME.

SIMBA LAZIMA AFUNGWE KWA SABABU YA KUSAJILI WACHEZAJI MIZIGO.

1. AYOUB Lakred.
2. ESOMBA ONANA.
3. MOSES PHIRI.
4. AUBIN KRAMO.

Hawa wanafanya kazi KUBWA Sana lakini hawana mchango.

5. SAIDO NTIBAZONKIZA.
6. SADIO KANUTE.
 

Unateseka ukiwa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…