FT: Al Ahly 1-1 Simba SC (Agg, 3-3)| Africa Football League| Simba yaondolewa kwa Goli la Ugenini

Mimi ni mshabiki wa Yanga wa mchongo yani sio kivilee.

Kitambo nilikuwa simba..
Niliacha ushabiki kwasababu niko too emotional, nikifungwa sili na ukinizingua unakula mangumiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nikakata shauri kuacha ushabiki lialia
 
Pole jamani...ushabiki ulopitiliza una gharama zake..
Mi ni keypard worrior tuu ushabiki wa maandishi...yani ukioniona hapa wala sina tyme kabisa..sitaki uniingie kwny moyo
 
Mimi ni mshabiki wa Yanga wa mchongo yani sio kivilee.

Kitambo nilikuwa simba..
Niliacha ushabiki kwasababu niko too emotional, nikifungwa sili na ukinizingua unakula mangumiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nikakata shauri kuacha ushabiki lialia
Afadhali aisee. Hata mimi ni hivyo hivyo maana huu ushabiki wa kupandisha mpaka presha aisee ni kazi kweli kweli.
 
Shabiki wa Uto akija kwako anataka maji ya kunywa kama leo hii utampa kweli au akafie mbele huko? 😁😁😁
Nampa mbona naishi nao humu ndani ila wanajua Simba ikicheza dada hataki usumbufu...
Mchezo ukiisha tunapakua tunakula πŸ˜€ πŸ˜€
 
Simba bwana mmetuzingua.yaani makosa yale yale mnakuja kuyarudia.mnaongoza vizuri alafu mnafanya uzembe
 
Hiyo mechi inatakiwa nyumbani tulinde Sana goli,wasipate kabisa au lisizidi moja,maswala ya goli la ugenini yanacost Sana,wenzetu wanapita kihesabu hesabu
 
Mpwa nimecheka
Mm nilikuwa shabiki Lia LiaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ pia yaani simba ikifungwa chakula hakipiti kabisa nachelewa kukubali had watu wananishangaa kazini siongei na mtu tukifungwa nikaona mpira utaniua
Nimeachana nao japo tukifungwa karoho kanauma ila siach kula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…