jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
makolo ili wafike nusu fainali basi hayo mashindano yaanzie nusu fainaliView attachment 2791547
[emoji28][emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
makolo ili wafike nusu fainali basi hayo mashindano yaanzie nusu fainaliView attachment 2791547
Dah! 😁😁😁Usije mjini kama hujaoga , simba wameoga na mjini hawaendi
Acha kujipa visababu, ishu kubwa ni game plan tuHakika,timu bora Al ahly wameshindwa kupata ushindi kwa Simba game mbili mfululizo.
Mimi ni mshabiki wa Yanga wa mchongo yani sio kivilee.Mi wala siyo mshabiki wa mpira basi tu huwa napenda hekaheka zenu. Kakangu alikuwa shabiki wa simba wale wa kulia, kutokula na kujifungia ndani hata wiki Simba ikifungwa. Nilijifunza kwake kutokuwa na ushabiki wa vile na nilikuwa namzingua tu kwa kujifanya mi Utopolo...
Kwangu ushabiki huu ni kucheka na kufurahi na kusema kweli sijui lo lote la maana kuhusu mpira. Mi mchezo wangu vitasa!
Kilaza(akili mbili fc) huwezi nishauri...Bola uwe mjinga kuliko kuwa mbumbumbu.
Yani unasherehekea kutolewa?
Pole jamani...ushabiki ulopitiliza una gharama zake..Mimi ni mshabiki wa Yanga wa mchongo yani sio kivilee.
Kitambo nilikuwa simba..
Niliacha ushabiki kwasababu niko too emotional, nikifungwa sili na ukinizingua unakula mangumi😂😂😂
Nikakata shauri kuacha ushabiki lialia
Hapo kipindi yupo kolomije [emoji1787][emoji1787][emoji23]
nimeshakujua dada bila shaka wewe ni Salma NgaleKwakuwa tutaanzia home tunaweza kuanza nae Lomalisa, ila Cairo hapana. Lomalisa ni mzuri kuipa timu matokeo sio kuzuia.
Huwa ana makosa mengi ktk marking kwakuwa anapanda sana.
Hana maajabu mbona? Kumbe na yy kashadroo
Afadhali aisee. Hata mimi ni hivyo hivyo maana huu ushabiki wa kupandisha mpaka presha aisee ni kazi kweli kweli.Mimi ni mshabiki wa Yanga wa mchongo yani sio kivilee.
Kitambo nilikuwa simba..
Niliacha ushabiki kwasababu niko too emotional, nikifungwa sili na ukinizingua unakula mangumi😂😂😂
Nikakata shauri kuacha ushabiki lialia
Shabiki wa Uto akija kwako anataka maji ya kunywa kama leo hii utampa kweli au akafie mbele huko? 😁😁😁Pole jamani...ushabiki ulopitiliza una gharama zake..
Mi ni keypard worrior tuu ushabiki wa maandishi...yani ukioniona hapa wala sina tyme kabisa..sitaki uniingie kwny moyo
Hapo misri na hiyo robo fainali
Nampa mbona naishi nao humu ndani ila wanajua Simba ikicheza dada hataki usumbufu...Shabiki wa Uto akija kwako anataka maji ya kunywa kama leo hii utampa kweli au akafie mbele huko? 😁😁😁
Angekuwa mimi angeringa sana 😀😀nimeshakujua dada bila shaka wewe ni Salma Ngale
USM Alger huo ushindi aliupatia Cairo uwanja wa Ahly?Acha kujipa visababu, ishu kubwa ni game plan tu
Al ahly kafungwa na USM Alger
Hapo USM Alger walipambana bila kuangalia ukubwa qa Al ahly
Hata Simba inaweza kuwafunga licha ya ukubwa wao
Hiyo mechi inatakiwa nyumbani tulinde Sana goli,wasipate kabisa au lisizidi moja,maswala ya goli la ugenini yanacost Sana,wenzetu wanapita kihesabu hesabuMoloko ana kasi sana shida ni maamuzi. Anakimbia na mpira halafu hajui afanye nini!
Zile mechi za CAFCC kuanzia robo hadi nusu fainali hapa home alizingua sana.
Lakini kwa aina ya wachezaji wa Ahly, sio chaguo sahihi kuanza nae, labda atokee sub.
Hutakiwi kufanya makosa golini mwao. Hapa ndipo ninapomkumbuka Mayele!
Mpwa nimechekaMi wala siyo mshabiki wa mpira basi tu huwa napenda hekaheka zenu. Kakangu alikuwa shabiki wa simba wale wa kulia, kutokula na kujifungia ndani hata wiki Simba ikifungwa. Nilijifunza kwake kutokuwa na ushabiki wa vile na nilikuwa namzingua tu kwa kujifanya mi Utopolo...
Kwangu ushabiki huu ni kucheka na kufurahi na kusema kweli sijui lo lote la maana kuhusu mpira. Mi mchezo wangu vitasa!