FT: Al Ahly 1-1 Simba SC (Agg, 3-3)| Africa Football League| Simba yaondolewa kwa Goli la Ugenini

Hata hivyo simba walicheza kishujaa; kutoka 1-1 na hao jamaa kwao huwa ni ni kazi ngumu sana. Tuwape maua yao Simba wamekufa kiume. Sawasa wajiandae na kipigo cha Azam tu ambaye ndiye kiboko yao kwenye ligu kuu.
 

Simba kaiheshimisha Tanganyika mbele ya dunia: Wachambuzi uchwara karibuni mtoe nyongo zenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kufarijiana ni muhimu sana. Rais wa Fifa na Caf walikuwepo, Rais wa Znz alikuwepo na Ali kiba alikuwepo.
SIMBA BWANA !! Haaahaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…