FT: Al Ahly 1-1 Simba SC (Agg, 3-3)| Africa Football League| Simba yaondolewa kwa Goli la Ugenini

FT: Al Ahly 1-1 Simba SC (Agg, 3-3)| Africa Football League| Simba yaondolewa kwa Goli la Ugenini

Hata hivyo simba walicheza kishujaa; kutoka 1-1 na hao jamaa kwao huwa ni ni kazi ngumu sana. Tuwape maua yao Simba wamekufa kiume. Sawasa wajiandae na kipigo cha Azam tu ambaye ndiye kiboko yao kwenye ligu kuu.
 
cb947c79-ec42-4054-9db7-6a1a8aea1c5d.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Simba kaiheshimisha Tanganyika mbele ya dunia: Wachambuzi uchwara karibuni mtoe nyongo zenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanasimba mna huzunika kutokea wapiii
Simba ni timu ya kwanza sio Tanzania ni ukanda wa Africa Mashariki na kati kuwa ya kwanza kushiriki mashindano haya
Timu haijafungwa na mbabe wa vita mafarao ya Misri away na kwao...
Unahuzunika kutokea wapiiii....
Timu yetu imekuwa ya kwanza Tanzania kushuhudiwa na Top leaders wa mpira akiwemo rais wa FIFA....
Hapa ni mwanzo tuu najiona tunaenda mbalii
Kufarijiana ni muhimu sana. Rais wa Fifa na Caf walikuwepo, Rais wa Znz alikuwepo na Ali kiba alikuwepo.
SIMBA BWANA !! Haaahaaa
 
Back
Top Bottom