FT: Al Ahly 1-1 Simba SC (Agg, 3-3)| Africa Football League| Simba yaondolewa kwa Goli la Ugenini

Mbwaduke katuingiza chaka kumpendekeza Bocco. Mechi ya leo inahitaji wachezaji wenye ubunifu wanaoweza kujiongeza, siyo "washambuliaji wakabaji"
Plan ni long ball na kujihamu for 70 min,,ikifika hapo hawajatufunga ndio tunajilipua
 
Tuna imani na SIMBA.. Tunaiombea ifanye vizuri ugenini iweke historia! Leo Pwani imenyesha ni dalili nzuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbwaduke katuingiza chaka kumpendekeza Bocco. Mechi ya leo inahitaji wachezaji wenye ubunifu wanaoweza kujiongeza, siyo "washambuliaji wakabaji"
Sema mechi ya leo usitegemee Simba kufanya mashambulizi sana
 
Mnaandika mtaishangaza dunia..🤣
Nyie ni wachumba tu mbele ya al ahly hakuna kitu mtafanya!,mtapakatwa mtakaa mlambwelambwe mbutuliwe mrudi mkiwa na Pete ya uchumba nyumbani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…