FT: Al Ahly 1-1 Simba SC (Agg, 3-3)| Africa Football League| Simba yaondolewa kwa Goli la Ugenini

FT: Al Ahly 1-1 Simba SC (Agg, 3-3)| Africa Football League| Simba yaondolewa kwa Goli la Ugenini

Mbwaduke katuingiza chaka kumpendekeza Bocco. Mechi ya leo inahitaji wachezaji wenye ubunifu wanaoweza kujiongeza, siyo "washambuliaji wakabaji"
Plan ni long ball na kujihamu for 70 min,,ikifika hapo hawajatufunga ndio tunajilipua
 
View attachment 2790738
Haijakamilika Mpaka ikamilike.

Leo 24.10.2023 Muda wa saa 11 jioni kwa saa za Africa Mashariki.

Itapigwa Match ya marudiano kati ya hawa mabingwa wa Africa.

Ni Al Ahly ya Misri dhidi ya Simba ya Tanzania.

Ikumbukwe kwenye 1st Leg Iliyopigwa Dar es Salaam 20.10.2023. Timu hizi zilitoka sare ya 2-2.

Tukutane Baadae.

Simba, Nguvu Moja.

Kila la heri Mnyama.

#Nguvumoja#
Tuna imani na SIMBA.. Tunaiombea ifanye vizuri ugenini iweke historia! Leo Pwani imenyesha ni dalili nzuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbwaduke katuingiza chaka kumpendekeza Bocco. Mechi ya leo inahitaji wachezaji wenye ubunifu wanaoweza kujiongeza, siyo "washambuliaji wakabaji"
Sema mechi ya leo usitegemee Simba kufanya mashambulizi sana
 
Mnaandika mtaishangaza dunia..🤣
Nyie ni wachumba tu mbele ya al ahly hakuna kitu mtafanya!,mtapakatwa mtakaa mlambwelambwe mbutuliwe mrudi mkiwa na Pete ya uchumba nyumbani!
 
Back
Top Bottom