SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Mbwaduke katuingiza chaka kumpendekeza Bocco. Mechi ya leo inahitaji wachezaji wenye ubunifu wanaoweza kujiongeza, siyo "washambuliaji wakabaji"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makolo betini basi simba inashinda yaan hapo ukiweka steak 1000 tu unapata mzigo wa maana[emoji23]View attachment 2791292
Chama la wanaKikosi cha Al ahly dhidi ya simba leo hiiView attachment 2791320
Khamsa khamsa swalawaaatMechi ya upande mmoja,mmoja atakuwa ana shambulia, mwengine anazuia, kazi kwenu kulinda hazi ya club, maana mkijilegeza tu tano zina wahusu.
Plan ni long ball na kujihamu for 70 min,,ikifika hapo hawajatufunga ndio tunajilipuaMbwaduke katuingiza chaka kumpendekeza Bocco. Mechi ya leo inahitaji wachezaji wenye ubunifu wanaoweza kujiongeza, siyo "washambuliaji wakabaji"
Naunga mkono hojaROBERTINHO AISHIE HUKO HUKO...
PUMBAVU ZAKE.
4-0
Tuna imani na SIMBA.. Tunaiombea ifanye vizuri ugenini iweke historia! Leo Pwani imenyesha ni dalili nzuri sanaView attachment 2790738
Haijakamilika Mpaka ikamilike.
Leo 24.10.2023 Muda wa saa 11 jioni kwa saa za Africa Mashariki.
Itapigwa Match ya marudiano kati ya hawa mabingwa wa Africa.
Ni Al Ahly ya Misri dhidi ya Simba ya Tanzania.
Ikumbukwe kwenye 1st Leg Iliyopigwa Dar es Salaam 20.10.2023. Timu hizi zilitoka sare ya 2-2.
Tukutane Baadae.
Simba, Nguvu Moja.
Kila la heri Mnyama.
#Nguvumoja#
Sema mechi ya leo usitegemee Simba kufanya mashambulizi sanaMbwaduke katuingiza chaka kumpendekeza Bocco. Mechi ya leo inahitaji wachezaji wenye ubunifu wanaoweza kujiongeza, siyo "washambuliaji wakabaji"
Jana ulisema nini na kimetokea nini..? Hakuna kitu leo mtajutua kwanini mnajishughulisha na mpira!😅
Asante mkuu
Vaò pra onde menino?Vamos mnyama vamos...........[emoji1545][emoji83]
Mechi ya kesho kwa wale wa dstv itaoneshwa channel no 275 k24.