FT: Al Ahly 1-1 Simba SC (Agg, 3-3)| Africa Football League| Simba yaondolewa kwa Goli la Ugenini

FT: Al Ahly 1-1 Simba SC (Agg, 3-3)| Africa Football League| Simba yaondolewa kwa Goli la Ugenini

Hivi ni kweli BOCCO anafaa kuanza dhidi ya kina Baleke, na Phiri? Au sifa pekee ni umbile kubwa la BOCCO bila kujali kuwa ni mzee na pamoja na kuwana umbo kubwa lakini nguvu na kasi zilishaenda kwao siku nyingi!!
 
El Shahat kuanza kikosi cha kwanza safari ya Simba imefikia mwisho, inasikitisha ila ndio ukweli.
 
Kwamba mwenzetu ulitegesha alarm ikifika saa sita kamili upandishe thread? Anyways, ngoja tuone kama tunakamilisha ratiba au vipi.
Umeandika kizalendo🤣🤣🤣Nifah huyu huyu😳
 
Wale wa betting. Hii game ipo wazi kama ya mbuzi. Mpe Al Ahly magoli ma3. Ana 2+ odds. Weka 50k utanishimuru.
 
Hamna timu isiyo fungika lakini inabidi wajitume mara mbili zaidi, wacheze compact sana na wafanye pressing ya maana yaani akigusa mpira mchezaji wa Al ahly wahakikishe watu wawili tayari wamefika yaani wasipate muda wa kufikiria ..
Itabidi wawe 22 ili iwe hivyo
 
Back
Top Bottom