Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Kuna mtu ananifanya nawaonea huruma, yaniiiii! Ila mfungwe tu, japo sio goli nyingi.Umeandika kizalendo🤣🤣🤣Nifah huyu huyu😳
Mtatamba sana nyie...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mtu ananifanya nawaonea huruma, yaniiiii! Ila mfungwe tu, japo sio goli nyingi.Umeandika kizalendo🤣🤣🤣Nifah huyu huyu😳
1500 ndo waliorihusiwa kuingia uwanjaniUwanja hata haujajaa
Isiyo na malengo, malengo yake ni kuifunga SimbaYanga sio timu kubwa ni timu shindani
Huo ukubwa wa Simba dhidi ya Yanga ni upi huo?Isiyo na malengo, malengo yake ni kuifunga Simba
Simba anayewakilisha TaifaTumshabikie nani?
Wacha Mpwa tumalize hili kwanzaHuo ukubwa wa Simba dhidi ya Yanga ni upi huo?
JidanganyeMashabiki wapo limited hii ni Advantage Kwa Simba
MKUU ASANTE SAAANA.Channel no.299 Rwanda TV