ElPuto Jefe
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 5,284
- 19,410
88..,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AaahaaaGooooooooo
Sasa si uungane nasi[emoji34]Hapana jamani. Waarabu wakiwakanda mi Mtanzania mwenzenu nitapata faida gani?
Hizi ni za kienyeji sidhani kama zinaweza,kupasuka [emoji23]Kuna wajinga Sasa hivi wanabana makende Simba isifungwe Ila mwarabu anaweza akazipasua kende
Fungal tu hesabu zako mkuu, hamna goli hapoSimba naomba goli moja na mpira uishe nifunge hesabu
Asante sana
Mbona kwa ihefu hamkusema haya?Wanapigwa na Yanga hao. Kama wale vibonde vyetu USM waliwafunga isije kuwa sisis. Hata nyie vibonde wetu mnawatoa jasho. Sisi si tutawapiga kama ngoma?
Kwa hio leo Simba kashinda ugenini au ameloa?Liliwasaidia Simba kumtoa Power Dynamos hapa juzi tu
Vipi tulifute kuanzia ile mechi mpaka leo?
Hongereni kwa kuongeza kitu hapo mbelePale mbele ameongeza kitu
LipoFungal tu hesabu zako mkuu, hamna goli hapo
Tulia kwanza wewe [emoji23]Na leo baada ya mechi tunapita kwenye uzi wa mhasibu wa taifa kumpa hongera au inakuwaje wakuu? [emoji16][emoji16][emoji2099]
Ihefu anaingiaje hapa tena?Basi waombee ihefu washinde ile mechi yenu ya kuchezea mwiko
Ameloa na mvuaKwa hio leo Simba kashinda ugenini au ameloa?
And Simba ouuuuuut....89..
Kapombe out...
Phirri in
Refa akiongeza dakika 10 Simba anaoga za kutoshaAmeloa na mvua
SIMBA tuna imani naweMoses Phiri anaingia
Kapombe anatoka