Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Bwahaaaaaaaa, nafurahi sana Makolokolo SC fans yakiteseka namna hii [emoji1787]PIGAAAAA HAAOOOOO MALIZAAAAAAA UAAAAAA PIGAAAAAA HAOOOOO HUYOOOO PIGAAAAAA View attachment 2791549
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwahaaaaaaaa, nafurahi sana Makolokolo SC fans yakiteseka namna hii [emoji1787]PIGAAAAA HAAOOOOO MALIZAAAAAAA UAAAAAA PIGAAAAAA HAOOOOO HUYOOOO PIGAAAAAA View attachment 2791549
Bwahaaaaaaaa [emoji2]
Vipi umeshapajua mkuu?Wenye mlisema hatuendi mbali hapa ni wapi????? Mashabiki wa Uto, hapa ni wapiiiiiii????
Hongera sana mpwa. Watu wanapoteza mpaka maisha ati!Mpwa nimecheka
Mm nilikuwa shabiki Lia Lia😂😂😂 pia yaani simba ikifungwa chakula hakipiti kabisa nachelewa kukubali had watu wananishangaa kazini siongei na mtu tukifungwa nikaona mpira utaniua
Nimeachana nao japo tukifungwa karoho kanauma ila siach kula
Shangilia lakini usiniguse [emoji1]makolo ili wafike nusu fainali basi hayo mashindano yaanzie nusu fainaliView attachment 2791547
Acha kujipa visababu, ishu kubwa ni game plan tuHakika,timu bora Al ahly wameshindwa kupata ushindi kwa Simba game mbili mfululizo.
Hakuna mtu ana kifua nyumaWanangu wa Simba wote tembea kifua mbele,bado Simba inatisha.
Ha ha haMungu na sisi pia ni watu. Tunaomba utulinde
Timu i afungwa na inapokea mshahara ,mimi shabiki nisile 🤣🤣 hii marufukuMpwa nimecheka
Mm nilikuwa shabiki Lia Lia😂😂😂 pia yaani simba ikifungwa chakula hakipiti kabisa nachelewa kukubali had watu wananishangaa kazini siongei na mtu tukifungwa nikaona mpira utaniua
Nimeachana nao japo tukifungwa karoho kanauma ila siach kula
Mamelodi Sundowns kila mwaka wanajipigia tu Al Ahly afu Makolokolo SC yanajisifu yana timu nzuri na Kocha bora [emoji16]Yote kwa yote Robertinho ni bonge la cocha
Mkuu hapa tunaongelea makundi ujue? Huko ni matokeo tu.Hiyo mechi inatakiwa nyumbani tulinde Sana goli,wasipate kabisa au lisizidi moja,maswala ya goli la ugenini yanacost Sana,wenzetu wanapita kihesabu hesabu
Kweli mkuu, Simba alipaswa achapwe hata 5.mkuu mimi yanga pia imeniuma huyu si wa ku draw alitakiwa apigwe kama ngoma na atoke
utaifa unaingia vipi kuna taifa stars hapa
[emoji1732][emoji38]Tumeimprove sn, kutoka kufungwa 5 hd kudraw.
Bwahaaaaaaaa [emoji28]Kwa hiyo kuna mwanasiiimbaaa alikaa hapo akawa anatupanga anasema Tunaenda kumtoa Al Ahly kwake?
Aiseee