FT: Al Ahly 1-1 Simba SC (Agg, 3-3)| Africa Football League| Simba yaondolewa kwa Goli la Ugenini

FT: Al Ahly 1-1 Simba SC (Agg, 3-3)| Africa Football League| Simba yaondolewa kwa Goli la Ugenini

Umejibu vizuri sana.[emoji23][emoji28]

View attachment 2791563
Bwahaaaaaaaa [emoji2]
JamiiForums-1072397695.jpg
 
Mpwa nimecheka
Mm nilikuwa shabiki Lia Lia😂😂😂 pia yaani simba ikifungwa chakula hakipiti kabisa nachelewa kukubali had watu wananishangaa kazini siongei na mtu tukifungwa nikaona mpira utaniua
Nimeachana nao japo tukifungwa karoho kanauma ila siach kula
Hongera sana mpwa. Watu wanapoteza mpaka maisha ati!
 
Hakika,timu bora Al ahly wameshindwa kupata ushindi kwa Simba game mbili mfululizo.
Acha kujipa visababu, ishu kubwa ni game plan tu

Al ahly kafungwa na USM Alger

Hapo USM Alger walipambana bila kuangalia ukubwa qa Al ahly

Hata Simba inaweza kuwafunga licha ya ukubwa
 
Mpwa nimecheka
Mm nilikuwa shabiki Lia Lia😂😂😂 pia yaani simba ikifungwa chakula hakipiti kabisa nachelewa kukubali had watu wananishangaa kazini siongei na mtu tukifungwa nikaona mpira utaniua
Nimeachana nao japo tukifungwa karoho kanauma ila siach kula
Timu i afungwa na inapokea mshahara ,mimi shabiki nisile 🤣🤣 hii marufuku
 
Yote kwa yote Robertinho ni bonge la cocha
Mamelodi Sundowns kila mwaka wanajipigia tu Al Ahly afu Makolokolo SC yanajisifu yana timu nzuri na Kocha bora [emoji16]

Mbumbumbu SC ni failed team, haiwezekani miaka nenda rudi Al Ahly anatutoa sisi Kufa Kiume SC.

Adui unacheza naye zaidi ya miaka 6 iliyopita lakini Malalamiko SC haina lolote nakati ilipaswa iwe imeshajua mbinu zote na aina ya silaha inazotumiaga Al Ahly kimchezo ili iwe inamfunga na kumtoa hata mara 1 1 tu.

Makolokolo SC ni overrated team kiubora isipokuwa inaonekana ikijitutumua kwa kupata hata sare kwa Al Ahly lakini haijifunzi kwa timu kubwa kama Mamelodi Sundowns ambapo awali ilikuwa ikisumbuliwa sana na Al Ahly lakini hatimaye sasa hivi Al Ahly ni Mchumba wa kawaida sana kwa Mamelodi Sundowns.
 
Robertinho alitakiwa ashinde kwa Mkapa.

Kosa kubwa lilikuwa Kimuanzisha Miquissone.

Na kumuweka Baleke Benchi
 
Back
Top Bottom