πππππNiko ICU; nikipata nafuu mniambie ni nani kashinda.
Naunga mkono hojaSafi Mwarabu piga kabisa wakome
πππSafi Mwarabu piga kabisa wakome
Laki yako imeliwa na mchwa?Nachoka sana walaqhiπππππ
Hajacheza. Alikuwa benchi anatoa ushauri kwa walioko pitch. πPakome hayumo humo ndani?
Nzengeli hana utulivu papara nyingi mbele kwenye maamuzi.Nachoka sana walaqhiπππππ
Yuko kambini michenzani, πππππNauliza;hivi yule Bacca aliyemficha Osimhen leo amepotelea wapi?
Mmeanzaaaa!!! ππππNzengeli hana utulivu papara nyingi mbele kwenye maamuzi.
ππππHajacheza. Alikuwa benchi anatoa ushauri kwa walioko pitch. π
πππππKipindi cha pili kocha fungulia mijibwa, kama mbwai na iwe mbwai