adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 17,595
- 39,893
Tulia Kolo , kolo unapata wapi muda wa kuwa na furaha timu lenyewe bovu halina matumaini na kombe lolote ?Mmeanzaaaa!!! ๐๐๐๐
Tulia Kolo , kolo unapata wapi muda wa kuwa na furaha timu lenyewe bovu halina matumaini na kombe lolote ?Mmeanzaaaa!!! ๐๐๐๐
Anafakamia urojo? ๐๐คฃYuko kambini michenzani, ๐๐๐๐๐
Mijibwa ipi...ndio jamaa mwenye blichi ...mmefanyia mipango apewe tuzo za MVP na golden boot huku mmemdhulumu Masta wa boli JCAKipindi cha pili kocha fungulia mijibwa, kama mbwai na iwe mbwai
Mkeka umetiki.FT : AL Ahly 2๏ธโฃ - 0๏ธโฃ Young African
DuuhhFT : AL Ahly 2๏ธโฃ - 0๏ธโฃ Young African
Hahaha kama huyo nzige kaona anazingua akacheze yeyeMmeanzaaaa!!! ๐๐๐๐
๐๐๐๐๐, sasa unalia nini??Tulia Kolo , kolo unapata wapi muda wa kuwa na furaha timu lenyewe bovu halina matumaini na kombe lolote ?
Kwani bacca na pakome hawakuwepo leo??Hahaha kama huyo nzige kaona anazingua akacheze yeye
Nawajulia wapi sasa๐Kwani bacca na pakome hawakuwepo leo??
๐๐๐๐๐ mmeanzaa kumsakama mtumishi wa watu.Max anaigharim sana timu na mikurupuko yake, sehem ya inayohitaji calmness and shot, yeye anapiga kuua kipa, chandim shot style๐คฃ๐
Hii tunavuka , Kolo aliwahi kugongwa Kono la nyani na As Vita na Al Ahly lakini akavuka makundi sasa Yanga kamechi kamoja tu away presha tutoe wapi ?๐๐๐๐๐, sasa unalia nini??
Poleeee wee. Woiiiiiih
Sasa nani kakuambia kuhusu kuvuka au kutovuka??Hii tunavuka , Kolo aliwahi kugongwa Kono la nyani na As Vita na Al Ahly lakini akavuka makundi sasa Yanga kamechi kamoja tu away presha tutoe wapi ?
Yeah, wamesha ulamba ๐๐๐Duuhh