Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,705
- 5,540
Piga ccm A hao
Ila wamejitahidi sana ile ndio ilikuwa shot on target ya kwanza kwa Al Ahly na goli wakati wao walifanikiwa kutengeneza nafasi nyingi sana ambazo zingine kipa kacheza. Wakijipanga vizuri kipindi cha pili kwa kusahihisha makosa wanaweza kusawazishaNiko na mashabiki uchwara hapa mate tu. Sijui wanafikiri Al Ahly ni Namungo.
Niko paleee😀😀😀 Nipo na wazee wa kigamboni hapa tunaweka mambo sawa game sare hii
😀😀Niko paleee
kula flying fish 😆
Matokeo ya mpira hakuna cha kujitahidi bwasheeIla wamejitahidi sana ile ndio ilikuwa shot on target ya kwanza kwa Al Ahly na goli wakati wao walifanikiwa kutengeneza nafasi nyingi sana ambazo zingine kipa kacheza. Wakijipanga vizuri kipindi cha pili kwa kusahihisha makosa wanaweza kusawazisha
ukipigwa umepigwaMatokeo ya mpira hakuna cha kujitahidi bwashee
😀😀ukipigwa umepigwa
Mkuu, hii ni Al hly sio Azam, ni kosa shabiki wa Simba kujisahaulishi hili, nimewaangalia Yanga wana timu aisee.Ila wamejitahidi sana ile ndio ilikuwa shot on target ya kwanza kwa Al Ahly na goli wakati wao walifanikiwa kutengeneza nafasi nyingi sana ambazo zingine kipa kacheza. Wakijipanga vizuri kipindi cha pili kwa kusahihisha makosa wanaweza kusawazisha
Sikiliza ile Ngoma ya hii yanga unaifungaje je unaifungajeee😆😆
Baelezee baambie baeleweMkuu, hii ni Al hly sio Azam, ni kosa shabiki wa Simba kujisahaulishi hili, nimewaangalia Yanga wana timu aisee.
Al Ahly watafanya nizime kwa rahakula flying fish 😆
Mijibwa ipi?Kipindi cha pili kocha fungulia mijibwa, kama mbwai na iwe mbwai