Cherecheche
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 4,851
- 9,372
Daah
hao ndio waarabu og😆😆Mwenye mji wake kaingia😀
Kilicho chomekwa bwasheeMtachomoa nini?
Au MashujaaNiko na mashabiki uchwara hapa mate tu. Sijui wanafikiri Al Ahly ni Namungo.
Kipindi cha pili najilipuahao ndio waarabu og😆😆
SI wanakuwaga na mwiko nyuma Hawa, ndio watauchomoa leoMtachomoa nini?
halafu watupe taulo wakimbie😁😁Kilicho chomekwa bwashee
Kuna muda Watanzania tunajisahau sana. Unafungwa na Egypt moja bila unaanza kutoa mapovu utafikiri timu yako ni Brazil.Au Mashujaa
Unaweka laki moja wap?FT : 2-2. Naweka laki moja
tupa taulo ukimbie 😅😅Kipindi cha pili najilipua
Live beti kwenye stakeUnaweka laki moja wap?
😀😀😀 Nipo na wazee wa kigamboni hapa tunaweka mambo sawa game sare hiitupa taulo ukimbie 😅😅
Hiyo pesa bora uitunze ule mandazi namaziwa mgando tuLive beti kwenye stake
Tuweke dau kwenye huo mkeka wako weka jiwe mi naweka laki seriouslyFT : 2-2. Naweka laki moja