TISHETI PLAIN DODOMA
JF-Expert Member
- Jan 30, 2025
- 617
- 1,910
Wamekufa kiume😅
Nzengeli, Mudathir na Dube leo walikuwa chini ya kiwango.Nzengeli hana utulivu papara nyingi mbele kwenye maamuzi.
Umeenda kuzoom album 😂Hakika lips zako ni za pink...
Ahsante...😅Komweee, poleee wee, 😂😂😂😂😂
Ndo Mafarao hao. 😂😂😂😂😂Ahsante...😅
haha! tuliaNdo Mafarao hao. 😂😂😂😂😂
Wateule hao, 😂😂😂😂😂haha! tulia
Khaaaah!!Kila mara nikiona comment ya coca
View attachment 3533461
We acha TU🤣🤣,,wamefyata midomo ziii😁Utadhani wana mimba changa, 😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 wameshakimbianaa. Hawana hata hamuWe acha TU🤣🤣,,wamefyata midomo ziii😁
😂😂😂😂😂 wameshakimbianaa. Hawana hata hamu
Imeniuma sana walaqhi 😭😭Laki yako imeliwa na mchwa?