FT | Al Ahly 2-0 Yanga SC | CAF Champions League | Borg El Arab Stadium | Jan 23, 2026

FT | Al Ahly 2-0 Yanga SC | CAF Champions League | Borg El Arab Stadium | Jan 23, 2026

Mbona hamjifichi......

Mpira ni mchezo wa wazi na ukikosea unaadhibiwa. Al Ahly ni timu kubwa Africa nadhani inashika nafasi ya kwanza. Hatuwezi kuwabeza na wamepata matokeo kwa ubora walionao
Hahaha ninacho jua mimi Al ahly imeipasua Barcelona ya buza basii
 
Mke wangu Kalia sana aisee mipira hii
Duh!! Mbona mimi nilijua lazima tufungwe tu. Al Ahly ni timu nzuri kuwafunga inahitaji kujipanga kikamilifu. Hatuna wachezaji wa kuamua matokeo. Tulionao wanatengeneza nafasi ila kuzitumia ndo shida.

Mashindano makubwa kama haya ukipata nafasi mbili inatakiwa uzitumie
 
Sio kweli kuwa ulijua, tutajuaje ulijua sasa
 
Nitajuaje ni kweli ulijua kabla na sio umesema baada ya kugongwa?
Ningekua sijui nisingekuwa hapa. Ningejificha ili kupoza machungu ya watani. Mvua imenyesha tumejua panapovuja wala haina shida. Hatujafeli ila tumejifunza na soka ni kujifunza kila siku
 
Back
Top Bottom