FT | Al Ahly 2-0 Yanga SC | CAF Champions League | Borg El Arab Stadium | Jan 23, 2026

FT | Al Ahly 2-0 Yanga SC | CAF Champions League | Borg El Arab Stadium | Jan 23, 2026

Mpira wa miguu sio lamli. Ni mchezo wa wazi. Ubora wa kikosi unaamua matokeo.

Yanga angeshinda leo ingekua big deal Afrika. Ameshinda aliyestahili kwa uwekezaji na ubora wa kikosi.

Ukitaka kuamini hili angalia kikosi kilichoanza. Waliingia waliosajiliwa dirisha dogo. Unajua sababu? Issue ni kuwa pale mbele hatuna timu
Pacome alitakiwa aanze- huyu angemaliza mechi mapema.
Huyu kocha, Gonzales, ni kimeo. Mtimueni fasta.
 
Nyie ni bacelona bhna
Ohoooo.....kumbe upo kwenye utani.

Ipo hivi mtani, mpira ni mchezo wa wazi na ukikosea unaadhibiwa. Jana tulikosea tukaadhibiwa. Ila tumejifunza na tunaenda kujisahihisha. Mchezo ujao utakua mzuri na tutaweza pata matokeo mazuri kama wachezaji watatimiza wajibu wao. Sio guarantee kuwa tutashinda
 
Basi sawa mkuu
 
Back
Top Bottom