😅😀Sisi Yanga tuseme Nini wakati tuna tu point 4 wala hatuna beki kama kibabage, striker kama Mutale wala mchezaji mzuri kama Bajaj wa simbaMkuu inamana hujalijua tu ni lipi analolimaanisha?
🤣🤣🤣 Sifuri maana yake hakuna kitu.🎶🎶🎶
Mawardat mi naimba tu mwaya.💃💃
🤣🤣🤣😅😀Sisi Yanga tuseme Nini wakati tuna tu point 4 wala hatuna beki kama kibabage, striker kama Mutale wala mchezaji mzuri kama Bajaj wa simba
Mijibwa ipi...ndio jamaa mwenye blichi ...mmefanyia mipango apewe tuzo za MVP na golden boot huku mmemdhulumu Masta wa boli JCAitakua Ahoua alikupiga plumb* sio kwa ujinga huo
Hahaha,hiyo nyimbo kama ya jana🤣,,sifuri.Mkuu inamana hujalijua tu ni lipi analolimaanisha?
🤣🤣🤣 Sifuri maana yake hakuna kitu.🎶🎶🎶
Mawardat mi naimba tu mwaya.💃💃
Hahaha,Leo tutashinda🤣,lazima tufunge hata Moja,hata kama tutafungwa lazima turudishe🏃🏃🏃🏃Hahahaa. Potelea pote.
Ila leo mnashinda bana. 😀
Karibu tuungane kuishangilia Simba jioni hiiAhsante Mkuu mimi Alhamdulillah. Sijui wewe?
Haya maji yetu tushayanywa bado nyie. 🤣🤣
Hahahaaa. Kwa kweeeli ni lazima mtarudisha. 🤣🤣Hahaha,Leo tutashinda🤣,lazima tufunge hata Moja,hata kama tutafungwa lazima turudishe🏃🏃🏃🏃
Nitakuwepo Mtani. Ahsante.Karibu tuungane kuishangilia Simba jioni hii
Hahaha,hiyo nyimbo kama ya jana🤣,,sifuri.
Hahahahah,usinicheke TU😁,,,tayari nimejiandaa kisaikolojia hapa😁Hahahaaa. Kwa kweeeli ni lazima mtarudisha. 🤣🤣
Tena leo nimeshapika hivyo ntakuwepo mwaya tushangilie pamoja. Teh.
😁😁😁,jamani Jana nilifrahi🏃🏃🏃
Acha kabisa mie jana ikabidi niseme tu tutawafunga wakija TZ. 😀😀Hahahahah,usinicheke TU😁,,,tayari nimejiandaa kisaikolojia hapa😁
Kufungwa kusikie Kwa jirani🙌
Hahahaaa. Leo zamu yangu. 😅😁😁😁,jamani Jana nilifrahi🏃🏃🏃
😁😁😁,tutafunga.Hahahaaa. Leo zamu yangu. 😅
Bado mapema,tutarudisha😁Acha kabisa mie jana ikabidi niseme tu tutawafunga wakija TZ. 😀😀
Ila leo ushindi mnao. 🤪🤪
Ok! Mie nipo leo ujue.Bado mapema,tutarudisha😁