MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,232
- 152,252
Mmejifunza kunyamaza labda😷Kwenye mpira ni kawaida kufungwa. Isitoshe Al Ahly ni timu kubwa. Tumejifunza kutoka kwao
Mmejifunza kunyamaza labda😷Kwenye mpira ni kawaida kufungwa. Isitoshe Al Ahly ni timu kubwa. Tumejifunza kutoka kwao
Wamekatwa kilimi fyaaaaMmejifunza kunyamaza labda😷
Kwani huwa tunapiga makelele?Mmejifunza kunyamaza labda😷
Hii busara yako imekuja baada ya yanga kubanduliwa mkuu , hakuna kitu hatujui bwasheeKwani huwa tunapiga makelele?
😁😁😁,waendelee kuwa mabubu.Wamekatwa kilimi fyaaaa
Hahahah,kwani Huwa mnafanyaga Nini?Kwani huwa tunapiga makelele?
Sio kweli nionyeshe wapi nimekeleleka humu?Hahahah,kwani Huwa mnafanyaga Nini?
Kwani Kuna wasiojua tabia zenu nyie,mnamakelele sana🚮
🤣🤣🤣🤣,we jamaa weye🤣Sio kweli nionyeshe wapi nimekeleleka humu?
Wachezaji wa bei rahisiMax anaigharim sana timu na mikurupuko yake, sehem ya inayohitaji calmness and shot, yeye anapiga kuua kipa, chandim shot style🤣🙌
Hahahaaaa. Lol.🤣🤣🤣,Sasa Leo ndio mtajua, kama hamjakimbia hapa.
Ahsante Mkuu mimi Alhamdulillah. Sijui wewe?Mkuu nakusalimia🤘
Hapana mpango wake ulikuwa ni mzuri sana mimi nimemuelewa, ule mpango angekuwa na wachezaji wenye ubora wa kutumia nafasi ilikuwa ni habari nyingine. Hadi dakika 45, Yanga walifanya kila kitu kwa usahihi kwa kuongoza kutengeneza nafasi, kwa kupiga mashuti mengi ya kulenga goli na kuizuia Al Ahly kufika golini kwa Yanga ( 0 attempt)Pacome alitakiwa aanze- huyu angemaliza mechi mapema.
Huyu kocha, Gonzales, ni kimeo. Mtimueni fasta.
Lol.Hahahahha,msharudi😁,
Pole😁
Aaah sie Wala hatuna presha tunajijua wenyewe,liwalo na liwe😁Lol.
Tushanyolewa na nyie mtie maji sasa. 😀
Liwalo lipi?Aaah sie Wala hatuna presha tunajijua wenyewe,liwalo na liwe😁
Hahahaa. Potelea pote.Aaah sie Wala hatuna presha tunajijua wenyewe,liwalo na liwe😁